Olive Soap
Olive soap ni sabuni ya kampuni ya Green World inayotengenezwa kutokana na mafuta ya asili ya mzeituni, na kurutubishwa na asali, vitamin E na viambato vingine. Husafisha ngozi kwa uangalifu na kuifanya ngozi kuwa nyororo, laini, yenye unyevunyevu na isiyoteleza
Sifa Bainifu Za Olive Soap:
- Mafuta ya mzeituni yana uwingi wa squalene inayoendana vizuri sana na ngozi ya binadamu na essential fatty acids. Inaweza kufyonzwa kirahisi sana na ngozi na inaweza kuiweka ngozi kuwa na mnyumbuko na yenye unyevu. Mafuta ya mzeituni yana uwingi wa antioxidants kama monounsaturated fats, vitamini, na polyphenols. Huondoa mikunyanzi ya usoni, hupunguza kasi ya kuzeeka, huamsha uhai wa ngozi, huzuia na kuondoa mipasuko ya ngozi ya kwenye mikono na miguu. Tabia za antioxidants zilizomo ndani ya mafuta ya mzeituni zinaweza kudumisha unyumbufu wa ngozi;
- Glucose, fructose, protini, amino acids, vitamini, na madini vinaweza kufanya kazi ndani ya epidermis na dermis na kuzipa seli virutubishi ili kuziwezesha kuganyika na kukua vizuri;
- Vitamini E ni antioxidant inayaboresha shughuli za kimetaboliki za ngozi, inaboresha mzunguko wa damu, inasaidia kugawanyika na kukua kwa seli. Huondoa madhara ya free radicals na kuboresha unyumbufu wa ngozi;
- Olive soap haina makali wala madawa ya kuizuia isioze. Hutengeneza povu zito bila ya kuwa na madhara juu ya ngozi.
Faida Za Olive Soap:
- Kuiweka ngozi kuwa ya unyevunyevu: Vitu vya asili kama mafuta ya mzeituni na asali hutengeneza utando mwembamba usioruhusu maji juu ya ngozi muda ule mfupi unapojisafisha hivyo kuifanya ngozi kuwa na unyevunyevu, laini na inayonyumbuka;
- Kuleta unyevunyevu na kuirutubisha ngozi: Mafuta ya mzeituni taratibu huondoa keratin isiyotakiwa. Asali na vitamin E huongeza kasi ya shughuli za kimetabiliki za seli na kumalizia usafishaji kwa kutoa unyevunyevu;
- Kung'arisha ngozi: Antioxidants zilizomo kama vitamin E na mafuta ya mzeituni huzuia utengenezwaji wa melanin na chloasma. Olive soap hutoa mchango mkubwa katika kuing'arisha ngozi;
- Kuisafisha kabisa ngozi: Mafuta ya mzeituni yaliyomo ndani ya olive soap hutengeneza povu zito, ambalo kwa haraka hufunika na kuutenganisha uchafu. Huuondoa uchafu kwenye vijitundu na kisha kuvisafisha vizuri vitundu, na hivyo kuurudishia uwezo asilia wa kujikinga wa ngozi. Tabia ya kuyeyuka kwenye maji ya mafuta ya mzeituni hufanya mabaki ya olive soap kuondolewa kwa urahisi.
<<<<< MWANZO